
πΊπππππππ:....: SONGA NAYO........ niliendesha gari kwa hasira nilikanyaga mafuta skuwa najali mtu anavuka au mbwa yan skujali chcht nilikua napiga kelele kw nguvu kama chizi nilikua nalia kama nimefiwa inshu sio kuachana na cliff inshu nna mimba alafu ya binam wangu na kaniacha ntawaambia Nini wazaz wangu ntamwambia Nini bibi angu mzaa baba shangaz na wote wanaonizunguka aibu gani hii jamn nilikua nawaza njia nzima mpka nafika nyumbn nikashuka ktk gari nikaingia zangu ndan uku nalia mlangoni nikakutana brie akaniambia subili unalia Nini Sasaππ nikamjibu hayakuhusu em nipishe Mimi akaniambia sa Kwan kuwa na mpenz lazima jamn kama akutaki achana
0 Comments