PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA TATU.

PAKA WA MAMA KIZIBO  SEHEMU YA TATU.

Bakari akiwa amelikumbatia gunia la mkaa huku akichungulia aliona mwanga ukimsogelea. Mwanga huo ulikuwa ni wa simu. Mmoja wa wale jamaa waliokuwa wakimkimbiza alikuwa anaingia kwenye banda la mkaa kumsaka. Kama Bakari alivyokuwa amethani, haikuchukua hata dakika tano macho ya msakaji na yake yakagongana. Jamaa alikuwa kesha panua mdomo kupiga kelele; kabla hajapayuka kitu Bakari aliinuka kwa kasi kama chui na kumtia kabari huku akimchoma mbavuni na vidole vyake viwili. "Waeleze wenzio hujaniona; sivyo nakutoboa utumbo kwa risasi. Haya sema." Bakari alimnong'oneza jamaa. "Jamani humu hayumo " jamaa aliwaeleza wenzake kwa sauti ya juu na kwa woga. "Basi toka twende

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments