3--4 NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS

3--4 NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS

EP 3. Alihatalisha maisha yake mno, ili kutupa sisi nafasi ya kukimbia, na yeye akaluka tembo aliikanyaga kanyaka ile gari mmmh ikawa ujiuji, mpaka tunafika sehemu salama kila mtu hakuamini tulijua ndo basi tena historia yetu itakuwa imeishia kwenye matumbo ya wanyama,tulifika kila mtu kimya kimya tukaingia kuoga kwanza, lakini manka mimi ety nikawa na hofu na mtu nisie mjua kabisa, sijui katoka salama yani naoga roho juu juu... Nilichukua muda mrefu sana kutoka bafuni, na ajabu nilisahau hata kuvaa ndala,nilitoka nikiwa mnyonge, ghafra namuona koku na yule kaka chumba tulichofikia, nilishangaa nikashtuka kitendo cha kushtuka tu nikashangaa nishakabwa na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments