
Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Nanah aliingia ofisini na kuitupa pochi yake mezani kisha akaketi. Bieber alishakuwa ndani ya ofisi yake na alikuwa akimtizama tu Nanah. Nanah aliwasha pc yake na muda huo huo nao Doy aliingia ndani na Kurwa. Walipita na kwenda kuketi eneo lao husika huku wakimtizama Nanah. Doy alimshtua dada yake ajaribu kulianzisha. Kurwa alichukua file na kumrushia mezani kwake. "Utafanya hiyo kazi, uhakikishe imekamilika kabla ya saa 7". Nanah alimtizama Kurwa na
0 Comments