"6~~12" SWEETHEART💋😘 06 (Ma oxygen yooooo🙌)

"6~~12"  SWEETHEART💋😘 06 (Ma oxygen yooooo🙌)

Sawa nilimjibu …….alinizungusha nyumba Zote na kunipa maelekezo Halafu nimesahau naitwa Peace ✌️ napenda amani muda wote kama jina langu wewe unaitwa nani? Naitwa Joyce nilimjibu.... Waoh jina zuri kama wewe na hii no yangu utanicheki kama kutakuwa na tatizo kipenzi ngoja sie tuwahi masomo... poa masomo mema... Nilimaliza kupika nikapakua chakula kwenye ma hotpot nikapeleka mezani nikiwa naanda chakula ndio akina Peace nao wakawa wanarudi nyumbani... Nilienda kuoga nikavaa nguo zangu nilizokuja nazo nikawakuta wamekaa sebuleni... Yani leo tumechelewa sana tulikuwa na discussions nyumba imependeza leo na nasikia harufu nzuri ya chakula twendeni tukale basi kabla hamjaondoka Peace aliongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments