
"Jamani usisali kingeleza, utakuja kujilaani mjukuu wangu, aliongea bibi yangu shangazi yangu nae akadakia, "Ukute ndio maana mambo yake hayaendi,ushajichanganya tayali, mapast tensi patispo, ninavyokuona wewe unaweza sema i forgive you my Lord, ooh I wonder you my Lord... Nikaona nisiwasikilize niendelee kuomba tu, tena nikaongeza sauti ili shangazi asinichukulie poa mi wa mjini bwana, God i forgive, Lord without me you're nothing, shangazi yangu alicheka jamani alicheka mpaka akalala chini, " yani kumbe tulikuwa sawa mama mjukuu wako unajua ameomba nini apo? Yani kwamwambia Mungu, ( Mungu nimekusamee,Mungu bila mimi wewe sio chochote/ sio kitu)... Hee bibi akashika kichwa
0 Comments