
*_______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Tamina alimaliza kupika na kuweka kila kitu sehemu yake, Mama yake alimfuata jikonina kumkuta anamalizia kufanya usafi. " Pole " Asante. " Naona umepamba na mwenyewe. " Kawaida nimeshazowea hekaheka za mgahawani. " Sasa vipi huyo mgeni wako atakuja kweli na hii hali ya hewa? " Atakuja hawezi kuvunja ahadi maana anajua umuhimu wa hii siku. " Sawa mimi naenda chumbani kwangu kupumzika huyo mgeni akifika utakuja kuniita. " Sawa mama. Tamina alimaliza kufanya mambo yake alafu akaenda kuoga kisha akaingia chumbani kwake na kuvaa gauni yake nzuri ya rangi ya maroon na nywele
0 Comments