BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 EP 25

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  EP 25

Vicky alicheka huku anatoka baada ya kuona Recho kama kapagawa ,, huwa anazidi kupagwa kila anapo kuja Qassano au akisikia hilo jinaa… Mr Qassano akasalimiana na RECHO , akamfungulia mlango wa gari abby ,, kwenye gari baada ya salamu hakuna alie msemesha mwenzie ,, Vicky moyoni alikuwa anasema huyu kaka jamani mzurii amependeza leo mmh Mr Qassano nae , anawaza yake moyoni aanzie wapii ,, kidogo akajitahid kuongea kwa kuisifia nchi ya Tanzania kwamba inapendeza sana… Mpaka wanafika kwenye hoteli ambayo alidhamilia kumpeleka huo usiku…story zoote zilikuwa zimemuishia qassano alikuwa anawaza Ata muingia vipiii Abby kumueleza hisia zakee na anaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments