🔥✈️ AJALI YA KUSHANGAZA: Ndege wawili wagongana,

🔥✈️ AJALI YA KUSHANGAZA: Ndege wawili wagongana,

mmoja avuja damu kama yai la kienyeji! 😳🕊️ ✍🏽 Imeandikwa na: Almasi Nillan Leo India kumechemka kama sufuria ya chai ya kijijini! Katika tukio la kushangaza ambalo limewafanya watu wajiulize kama hii ni kweli ama ni sehemu ya sinema ya Bollywood, ndege wawili (moja akiwa wa Air India, mwingine akiwa na mbawa tu) wamegongana angani kwa kasi ya ajabu! 😵 Picha inayoenea mitandaoni inaonyesha yule ndege mwenye mbawa (samahani sio ndege ya chuma – bali ni yule wa "kuku wa angani" a.k.a dege wa kawaida) akigongana uso kwa uso na ndege ya abiria kana kwamba alikuwa anadai deni! 💥 Ripoti

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments