
Asubuhi ilipopambazuka, bado afya ya Rasma haikuwa nzuri 😔. Akili yake ilisema kile ambacho hata yeye mwenyewe hakuweza kukielewa. Wakati mwingine alikwenda jikoni na kutafuta kisu, akitaka kunyoa nywele zake akisema kwamba zinamuwasha 😰. Muda mwingine alitishia kuchoma nyumba moto 🔥, hadi ikafika hatua ambayo Mayner alijuta kwanini alienda kwa mganga. Alifikiria afanye nini. Alienda kwa baadhi ya watu kuulizia kwa zaidi ya siku mbili mfululizo, lakini hakuna aliyempa jibu la maana 🤷🏽♂️. Wengi walimshauri kwamba kama inawezekana, aende kwa mganga kwa mara ya pili ili kujua nini hasa kinamsumbua Rasma. Lilikuwa ni wazo ambalo kwake aliona linaweza kuzaa matunda,
0 Comments