
Mama loveness alinikaribisha nilijua kafanya vyote hivyo ndani ya nyumbani kufagia na kupiga deki ili tu apate cha kunisema . Nilitulia kamaa nimenyeshewa na mvua na sikuwa na jipya la kusema zaidi ya kujua kuwa nimeshayakanyaga kwa mama mwenye nyumba.. Hapo hapo Mzee makani aliamka na kutusalimia " habari za asubuhi" mimi nilimuamka na mama alimjibu na kuanza kunisema kwa mafumbo . " Baba loveness sikuizi wa miliki wa nyumba mmekuw wawili? " Kivipi mke wangu,mbona sikuelewi? " Wewe unaamka saizi na mfanyakazi wako naye ana amka sahizi. Sisi ndo tudeki , tuoshe vyombo. " Mke wangu sikuelewi ?
0 Comments