
“ Msichana mrembo lakini ni kopo...tuuuu..” Aliiongela kwa darau hans na kutema mate chini. “ Aaaaah! Wewe kaka vipii?” Aliuliza kwa mshangao Mercy. “ Vipi nini! hebu niondokeee hapa.....” Alibwata kwa jazba Hans. Mercy aliduwaaa. Aliiangalia kushoto na kulia, watu karibiu wote walikuwa wanamwangalia. Kwa iabu aliondoka. Aliingia ndani ya soko kuonana na mama ana. Alipiga hatua kadhaa kisha akageuka kumwangalia Hans. Hakuamini kila alivhoambiwa na hans. Moyo wake ulijaa huzuni. “ Mercy...mbona una uhuzuni hivyo?” Mama Ana alimuuliiza Mercy. “ Mmmh! acha tu....kiherehere changu kimeniponza.” ALiongea kwakifupi Mercy. “ Kimekuponza? Kivipi?” ‘ Tuachane na hayo. Nimekuja kwako nataka kujua
0 Comments