
Niwasichana warembo, wameumbwa na wakaumbika, warefu na weupe , tena ni mapacha. kimuonekano wanafanana kila kitu, ila kwa ndani ni tofauti kabisa. Mmoja anapenda hela kupita maelezo na mwingine anawachukiia watu wenye hela isivyo kawaida. Anayependa hela anaitwa Imelda na yule asiyependa hela anaitwa Mercy. Imelda Toka alivyobalehe alijiapiza, kamwe hatakuja kutembea na mwanaume masikinii. Alijiapiiza kwakujikata kidole kuwa ni lazima aolewe na mwanaume tajiri ambaye atamfanya aishi kama malkia. Kutokana na uzuri wao, kila siku waliikuwa wanatongozwa mtaani, na kila walipopita wanaume wakwere walinungunika na kulalamiika kuteswa na maumbo yao mazuri. Liicha ya kutongozwa sana Imelda na Mercy hawakuwahi
0 Comments