
“ Watu wenye hela mnadharu sana, yaani kila mwanamke mnazani ni Malaya mtamnunua kwa hela..sasa kwa taarifa yako mimi sipo kama hao wengine unaowanunua...mfyuuuuu.” ALisonya mercy na kushuka kwenye gari. Hans aliiduwaaa. “ Aaaah!” Alshangaaaa. Aliikumbuka maneno ya mama Ana. ALikumbuka jinsi alivyotemewa mate na Imelda. “ Inakuwaje? Mama Ana alisema huyu mwanamke anataka watu wenye hela? Inakuwaje ananikataa tena?” Aliwaza. “ mmmh! bial shaka dereva wangu atakuwa kavujisha siri. Biila shaka kamwambia msimamo wangu ndio mana huyu mwanamke anafanya hivi ili tu anikamate.” ALiwaza hans. Alijikuta anacheka pake yake. “ Pumbavu sana huyu mtu...bila shaka kanijua..bila shaka dereva wangu
0 Comments