😋😋💔 ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE. EPISODE.. 12... &... 13

😋😋💔 ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE.  EPISODE.. 12... &... 13

Majira ya jioni sana, baada ya kumaliza kuuza nyanya, Hans alimpigia smu dereva wake aje kumchukua. ALimtaka apaki gari mbalii na pale ilii watuwasimuone. Nusu saa mbele dereva wake aliikuja. “ Vipi umeshampata umtakaye?” Aliuliza dereva. “ Hapana! Bado sijampata..” Alijibu kifupi Hans. “ Sasa kama bado hujampata inakuwaje? Mbona umenta nije kukuchukua wakati ulisema hautarudi mpaka umpate umtakaye? Nakumbuka mpango wako ulikuwa ni kulala huku huku..” ALiongea dereva. “ Ni kweli..ila kuna binti mmoja nimempenda sanaaa...kila nikikaa moyo wangu unamuwaza yeye, iila shida ni kuwa anapenda sana hela...anapenda hela kupita maelezo..” “ Mmmh! sasa unataka kufanyaje?” ALiuliza dereva. “

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments