
Haya fungeni mikanda wote tuka funga mikanda na dereva akatoa gari pale hotelini mdogo mdogo Safari ikaanza huku masihara ya hapa napale yakiendelea mtoto mmoja kati ya wale mabinti wawili akawa ananiita anti anti ona ile ni ile michoro ya barabarani huku anafurahi sana mubaba heee joyce leo anakuongelesha kweli damu zimeendana kwa nini tena aaaah huyu binti yuko serious sana mmmmmh dereva anachochea mwendo utani ukawa mkubwa gari nzima wote tukawa marafiki vicheko vilitawala story nyingini sana nilijisahau kabisa kama naenda msibani mabinti wakawa wamesinzia wote nilihisi hali ya usingizi kidogo ila nikawa napiga story tunacheka sana 🏃🏃🏃🏃 !
0 Comments