BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘10

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘10

Baada ya dakika ishirini kupita Bryan alifika akiwa kavalia tishet nyeupe na suruali ya jeans nyeusi na kichwani alivalia kofia akaenda kukaa sehemu ya Kona ya ule mgahawa . Muhudumu alifika kwenyemeza aliyokuwa kakaa. " Habar " Salama " Karibu. " Asante naomba unipatie maji chupa kubwa. " Sawa . Muhudumu aliondoka Bryan alitoa simu yake akawa anabonyeza huku akiangalia walipokaa wakina Maria. Alikuwa anamuangalia Sana Maria anavyoongea Tena akiwa na furaha . Muhudumu alimpelekea maji akamimina kwenye grass akaendelea kunywa huku macho yakiwa kwa Maria. Kila wakati zakia alikuwa anaangalia sehemu ya kuingilia Kama atamuona Bryan. Bryan aliwaangalia mpaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments