
"Weee unaumwa kwani??" Mama Recho akamuuliza Qassano aliwasalimia na wote wakabaki wanamshangaa midomo wazi Recho akam-bonyeza Vicky anamuuliza kwa ishara huyu nanii?? Vicky hakuwa anaweza kujibu mana Mr Qassano hakuwa mbali na yeye , Mr Qassano alifungua Gari akatoa vitu vya Vicky ni ule mfuko wa nguo "Chukua mizigo yangu" Recho akachukua mizigo huku ana sintofahamu nyingii kichwani Vicky akawaweka chini wote akawaaambia kila kilichomkuta,Mr Qassano akabaki kuomba msamaha kwa mama Recho akiamini ndie mama mzazi wa Vicky na ndio hivyo alitambulishwa Vicky akasema usijali kila kitu kimeisha nashukuru kwa msaada wako Qassano akamwambia sawa nashukuru nimepajua nyumbani lolote litakalo
0 Comments