
Nikamwambia we acha wehu muonee, akasema et mama kwahiyo ndoa yangu lini Baba akasema yaan baba mkwe akasema ndo kwanza mmefika jamani hata tule tu Mama akasema afya ya salma bado ni dhaifu sana mi nafikiri tungemwangalia akarudi kwenye uimara wake kabisaa ndio ndoa ifungwe Mi nikasema jamaniiii mbona mi nipo vizuri tuu , hapo mwenyewe nina hamu na ndoa sanaaaa Inno akasema , bora ungerudisha kwanzaa mwili wako ukapata ule Urembo wako asilia ,subira asije kukuzidi bureee ukumbini Mmmh nikasema wee msinambie , Inno akasema harusi itakuwa siku mojaaa Jamani mbona siwezi kusubiri zaidi Subira akanambia yaan sitaki uje
0 Comments