
Bryan na Maria walikubaliana kuwa wapenzi. Bryan alifurahi Sana akaenda kunitambulisha rasmi Maria mbele ya rafiki zake. Ilipofika usiku waliingia kwenye hema Lao , usiku huo walikuwa wanaongea na kuuliza a maswali. " Bryan unajua wewe nimkali sikutegemea Kama ipo siku tungekutwa hivi. " Siku zote Simba huwa Ni mkali lakini kwenye baadhi ya Mambo hususani mbele ya mwanamke anakuwa mpole. Kwahiyo Mimi kwako Sina tofauti na Simba dume. Nakupenda Sana Maria . " Umeanza kunipenda lini ? " Siku moja ulipanga mpango na wenzio kuja kunijaribu, wewe ukanitoa na kweli ilionekana jasiri hukuogopa ulinidanganya nikakubali ikiwa nilikuwa najua kuwa
0 Comments