NIPE YOTE DADY FINALY KWETU MOROGORO FUN SEHEMU YA 60

NIPE YOTE DADY FINALY KWETU MOROGORO FUN  SEHEMU YA 60

"Huna haja ya kuita walinzi kwani siko hapa kukupotezea mda wako ila nimekuja kukwambia kiti hiki kimoja. Selim wakati tunaanza mahusiano ulinikuta nikiwa na usichana wangu ,wewe ndio ulikuwa mwanaume wakwanza kujitumia na hadi leo hii sijawahi kumvulia mwanaume yoyote yule zaidi yako. Ila leo umesimama kinyume na kutoka na mtu ambae ni ndugu yangu wadamu alafu unanipakazia kuwa mm ndio nimekusaliti , sasa basi bakubali kuachia yote na kufuta kila kitu ila tambua kuwa hiki ulichokifanya utakuja kujutia maisha yako yote. Utalia na kutamani mda urudi nyumba ili uweze kubadilisha maamuzi yaki ila itakuwa umechelewa hiyo nafasi hauta ipata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments