LOVE YOU DADY 💘❤️💘03

LOVE YOU DADY 💘❤️💘03

Basi bwana tulipokaribia mbele kwenye madhabahu inakofungishiwa ndoa... Rouhy akanipokea kwa kunishika mkono then kwa sauti ya chini sana nikasikia ananiambia Hi😴😴 Mi ata sikumjibu🙈🙈nilikaa tu kimya tulisonga mbele pale tukaombewa baada ya hapo tukaketi kusikiliza ibada then ndoa ikafungwa😴😴sisi Baada ya ndoa sasa ndo Rouhy akaambiwa anifunue ili aweze kuiona sura😩😩 mshikaji alinifunua ile shela kichwani lol niliona aibu🙈 Nilibaki nimeangalia tu chini🙈🙈 Rouhy alinikagua vyema mpaka akatosheka🙈🙈 ana jicho fulani hivi🙈😴 Basi baada ya hapo nikashangaa mchungaji ananiambia Maya inua macho yako juu umtizame mume wako nyiee😴😴 Kila nilipojaribu nikawa nashindwa kabisa kumwangalia Rouhy🙈🙈mchungaji alirudia tena kuniomba niinue

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments