BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘09

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘09

Bryan alifikiria Sana jinsi ya kumuingia Maria lakini alikosa jibu Kuna wakati alitamani kupotezea na kuendelea na maisha yake lakini moyo wake uliendelea kumsaliti. Ilifika wakati alikuwa akimuota mpaka kwenye njozi zake. Siku moja Bryan alikuwa ametua ofisini kwake huku akiwa anaangalia picha ya Maria iliyokuwa kwenye loptop Mara zakia aliingia alipofika alishangaa kuona picha ya Maria kwenye loptop ya boss. Bryan alifunika loptop Yake. " Samahani boss nimekuja kukumwambi ratiba ya leo, baada ya lunch unatakiwa kwenda kwenye kikao cha wafanyakazi wa B.L Transport. ( Hii Ni kampuni ya usafirishaji anayomiliki Bryan) " Sawa. Zakia alitaka kutoka Bryan akamrudisha.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments