NDOA YA MIE .9.

NDOA YA MIE .9.

MTNZ: ZAMRATA MBWANA (ZM) NO: 0698095257 Tulipo 🌷 Ishia Ni Pale Imeletwa Barua ya Uchumba kwa Kina Zenafa ... Songa Nayo... Basi Ilipangwa Siku kwaajili ya Kuisoma Barua ya Posa au Uchumba . Kwa Kina Zenafa na Aliitwa Shekhe Pia Baba yake Zenafa Alikuwepo na Alikuwa Anatembelea Magonga Kuendelea Kuuguza Mguu wake hadi utakapo pona Kabisa Wote Walikusanyika ikiwemo Zenafa na Dada zake na Mama yake wa kambo . Dada Zake Walikuwa Wameoga na Kujiremba Vizuri huku Wakiwa Wamejitanda Ushungi Vizuri . Tofauti na Zenafa Yeye Alikuwa Yupo yupo tu hana Habari . Basi Shekhe Alianza Kufungua Kitambaa Kilicho fungwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments