SEHEM YA 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—

SEHEM YA 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—

Mr Qassano aliketi pembeni ya Vicky akaendelea kuangalia mgongo wa Vicky kwa muda sana kichwa kilikuwa kinawaza mengiiiii moyoni anasema mbona ni huyuuu au ndo wawil wawil Dunianiii Masha huku alijiandaa kisawa sawaaa kumpokea Mr Alberto ,Alitoa wafanyakazi wotee akabaki peke yake , sasa usiku umeingia jumba lake kubwaa yupo peke yakee hakuna mtu hata mmoja Zaidi ya mlinzi wa nje alikuwa Getini ndio eneo lake la kazi Vyakula alipika akaandaa meza ,Sasa alikuwa juu ya meza peke yake anatazamana na vyakula vyake ... "Mpaka sa hiziii ,Au Rahul kaamua kuniongopea??" Akachukua simu yake akaweka namba ya Ofisi ya Rahul

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments