BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.

BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.

" Sawa kama hutaki kuamini." Kwa upande wa Gael, Gian na Gavin wallenda kumtembelea. *Tumesikia unaumwa na hukwenda ofisini leo," Ni mafua tu kidogo, nimetumia dawa mpaka kesho nitakuwa sawa." Gael alikuwa na huzuni. "Mbona umepoa hivyo kama unaumwa sana tukupeleke hospital." alisema Gavin. Hapana kaka nipo sawa, ni moyo wangu tu unanisumbua. Gael aliweka mkono wake mmoja kifuani. Nitampigia simu doctor Enosh aje haraka kukufanyia vipimo." Gian alitoa simu. Gavin alianza kucheka. Dogo unazingua, huyu haumwi ni mapenzi yanamsumbua." alisema Gavin. "Ni yule mwanamke tena? Kwanini unapoteza muda wako kwa mwanamke mwenye tabia za ajabu kama Mira? Tayari unajua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments