
kuongea maswala yao ya kibiashara lakini akili ya Jerry haikuwa pale alikuwa akimkumbuka jinsi walivyovamiwa na Stephen . " Hivi leo upo sawa kweli? Nabir alimuuliza. " Kwakweli simba dume nimeshikika, sina ujanja . " Unamaana gani kusema hivyo? " Nabir ninezama penzi ni lakini sijui najiweka vipi kwenye hili penzi na mbaya zaidi kuna kitoto kimoja naona kinaniingilia . Nabir Kumuangalia Jerry huku akicheka sana. " pole sana rafiki yangu , udhaifu wako naujua huwezi kubembeleza wala kutongoza, sijui huyo msichana utaanzia wapi kumvuta kwako. " Tayari yupo karibu na mimi ila kumueleza hisia zangu ndio bado. " Ni
0 Comments