
. Jioni Mira hakutaka kutoka na Gael, alisema anamgeni hivyo atawahi kurudi nyumbani. Gael aliamua kwenda dukani kwa mama yake. "Mambo mia. Gael alimsalimia Mia huku anatabasamu.. "Poa tu boss, karibu sana, nikuhudumie nini leo?" Mia aliongea kama anaongea na boss wake. "Mia tumekubakiana kuwa sisi ni marafiki, kwanini unanichukulia kama boss wako?" "Mimi sikukubali tuwe marafiki, ni wewe ndo ulisisitiza hilo. Mia aliongea huku anaangalia chini. "Come on Mia, usinifanyie hivi, mwenzio nimetamani kweli kuwa rafiki yako." Gael aliongea kwa kulalamika. "Mmmmh sawa lakini asijue mtu yoyote. Mia. aliongea kwa sauti ya chini. "Sasa nimekuelewa, unamaanisha urafiki wa siri
0 Comments