
ile kadi. Mlinzi akipokea na kuangalia jina. " Nenda ghorofa ya pili chumba namba 56. Alisema mlinzi huku akiwa anamrudishia Lina ile kadi. Lina aliingia ndani alikuwa hajui aanzie wapi mpaka afike ghorofa ya pili. Mara alifika muhudumu mmoja akiwa na tabasamu mwanana usoni kwake. "Habari mrembo. " Salama. " Naweza kukusaidia? " Ndio nahitaji kufika ghorofa ya pili chumba namba 56. " Sawa nifuate tafadhali. Lina alimfuata yule muhudumu mpaka kwenye lift . Lift ilianza kupanda mpaka ilipofika ghorofa ya pili ilisimama mlango ukafungwa wakatoka na kuelekea chumba ni 56. " Hiki ndio chumba namba 56. " Asante .
0 Comments