BILIONEA NDANI YA HOTEL 57__58 ( SEASON THREE)

BILIONEA NDANI YA HOTEL  57__58    (  SEASON THREE)

Rahul akasema kama nyie mtaamua kumsamehe mie siwezi aise ile siku angekataa kuwa sio yeye saa sio ake mimi siwezi kumsamehe aisee “ Muda huo doctor aliingia akamwambia mr Rahul majibu ya vipimo vya juice aliyoitumia Vicky ,, Rahul akamwambia atoe majibu hapo hapo Vicky hakujua kama juice aliyokunywa ndio ilimsababishia matatizo ,, Doctor akasema haikuwa dawa ya mitishamba ila juice ilichanganywa na sumu ya mifugo haiwezi kuuwa binadam lakin ilikuwa na athari kwa mtoto alietumboni “ Vicky akabaki mdomo wazi kwanini nes amuwekee hiyo dawa? Vick akamtetea kasema itakuwa alipo nunulia ndio labda waliangushia bahati mbaya hawakujua kama itakuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments