
Masha aliamka muda tayari umeenda kidogo alijikokota kokota akatoroka mana alijua kivyovyote lazima police watamkuta kama mungu wakati anatoroka ,, Rahul alikuwa kafika na police hapo hospital masha alikuwa kashatoka Safari ya masha ilienda mpaka nyumbani kwake rengo achakue pesa zake hakuwa hata na simu,aliiacha nyumbani ,, ajabu akakuta ulinzi mpya hakuruhusiwa kuingia ndanii “Hapana hapa ni kwanguu jamanii” “dada hauruhuisi kuingiza mtu labda ulete uthibitisho “ ‘hapana hawezi kunifanyia hvyo mimiii” Masha aliondoka huku analia sana hali yake haikuwa bado nzuri hakuwa hata na akiba ya mia kusema atachukua usafiri Alijikokota taratibu kuelekea kwa mama yake macho yake yalikuwa
0 Comments