KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ SEHEMU YA TATU*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ SEHEMU YA TATU*

"Shahid umetoka wapi na vichaa? Mmoja wa marafiki zake aliuliza Kichaa nae mtu Acha niwaache tutaonana wakati mwingine. Shahidi alinyanyuka akamshika mkono Shania wakawa wanaondoka. huku watu waliokuwepo kwenye ile sehemu wakiwaangalia. Na kila mmoja alifikiria kivyake pia kuna wengine walisema anamtuma vibaya Shania lakini Shahid hakuwa wa kujali watu wanachosema pia alizingatia sana maamuzi na misimamo yake. Umekula? Shahidi alimuuliza huku wakiwa wanatembea, Nilikuwa ugali saileeee. Sasa hivi njaa ina kuuma? Ndio inauma sanaaaa Sasa unataka kula nini? "Kuku. Alijibu Shania haraka haraka "Sawa twende. Walienda kupanda kwenye gari Shania alifurahi sana kupanda kwenye gari ni kama kilikuwa kitu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments