
TULIPOISHIA..... Mbele kidogo ya nyumba yao abby kulikuwa na Gari nyeupe akatazama kwa sec Qassano akawasha taa na kuzima kuashiria nipo hapa ,, abby akaanza kutembea taratibu anafata gari ,, nae akashuka kwenye gari akawa anamsubir pembeni ya mlango “ jamani ndio usiku hivii” abby akaongea sauti yake ilikuwa inajulisha kabisa huyu mtu ametokakulia kama sio kuumwa mafua makali…… ENDELEA....... Qassano akatumia sec mbili kujifikiria ameachana na abby muda sio mrefu wa kusema Abanwe na mafua kiasi hikiii ,, kwahiyo ulikuwa unalia ?? sasa ulikuwa unalilia ninii?? Hakumjibu kitu alimvuta akamkumbatia .. akamwambia Abby nipe nafasi moja tu nimeshindwa kujifanya
0 Comments