SHANGAZI NIPE TARATIBU, MJOMBA AKIJUA ATANIUA! SEHEMU YA 05

SHANGAZI NIPE TARATIBU, MJOMBA AKIJUA ATANIUA!  SEHEMU YA 05

Ilibidi nipandishe bukta yangu haraka haraka na Attu alivaa vizuri akakimbilia mlangoni kwenda kumuwahi shangazi Magge lakini alishachelewa, shangazi Magge aliufungua mlango akitaka kuingia ila kabla hajaingia mazima simu yake iliita akaganda mlangoni pale pale, nilichofanya ni kutoka upande wa kitandan🫣 haraka na kwenda pale pale mlangoni nikajibanza kwa nyuma maana kama angechungulia ndani tu basi angeniona moja kwa moja. "Mbona nakugongea halafu kimya humo ndani?" Shangazi alimwuliza, "Nilikuwa nafanya usafi dada sikukusikia" "Bonny umemwona wapi?" "Mh sijamwona muda mrefu nadhani alitoka" "Sasa mbona hajaniaga?" "Sijajua dada" Attu alijibu lakini shangazi Magge alionekana kutoridhishwa na majibu ya dada huyo wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments