BILIONEA NDANI YA HOTEL EP 29

BILIONEA NDANI YA HOTEL  EP 29

“ hahah nishushe kesho basi” abby akamkiss shavuni aaingia ndani maana alikuwa amemfikisha mlangoni ,, qassano akabaki ameganda mlangoni, abby kashafunga mlango zamanii Vicky akajitupia kitandanii haamini et kwa mara ya kwanza amepata busu la mkaka handsome hivyoo tena napesa , uuuh akaziba uso kwa viganja vya mikono ake miguu akawa naipiga piga chinii ,, aisee hii ni ndoto ya kila mtu mwenye jinsia yakikee ,, yeye kaja kuipat kirahisi Qassano alifungulia mziki ndani ya garii ,, alikuw anasikia rahaaa ambayo hajawahi kuipata tangu amezaliwa ,, akafik Hotel akachukua diary yake akaandika Abby she’s more beautiful women never seen before

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments