
TULIPOISHIA....... Boazi alikuwa ndani ya chumba chake kidogo pembeni ya geti anajilia raha na mmoja wa wasaidizi wa masha alie kuwa amembakiza,,walikatishwa maogezi yao baada ya mlango wa boazi kukongwa ilikuwa usiku sana inakwenda saa tisa ,, masha usingizi ulikuwa mzito sana kuja ,, akaona aende zake kwa boazi akale ma raha yake… Boazii alikaa kimyaaa ila alijua kabisa ni masha huyo, maria akamuuliza ni nan?? Boazi akamwambia shh usiongeee…..masha akaita we boaz fungua mlangoo Maria akasema mungu wangu sio sauti ya madam hiyoo ,, anafata ninii usiku wote huu? ENDELEA....... Boazi akabaki kubabaika amjibu nini Boss wake, ilitakiwa kuwa
0 Comments