Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia,

Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia,

KUMEKUCHA TENA: Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia, ambalo linatarajiwa kupita karibu na Dunia wiki ijayo, kitu ambacho kinatishia ulimwengu. Shirika la Anga la Marekani (NASA) limetangaza kuwa Jiwe hilo (2025 OW) litapita umbali wa maili 393,000 kutoka anga ya Dunia Jumatatu hii, Julai 28. Na Wanasayansi wanasema umbali huu ni wa karibu zaidi na ni hatari kweli. Chanzo: ArabiaMisr.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments