
‘”Elekea sasa hiivi AQ HOSPITAL, abby yupo hapo kamsaidie anaumwa “ “ embu achana na abby nataka tuonane mimi nawewee sasa hivii ,, kuna jambo muhimu sana kuhusu masha inatakiwa ujue” Alberto alichukia hata kuficha hasira zake alishindwa et achana na abby moja ya kauli iliyo mchefua nafsi halafu tuongee kuhusu mashaa? Alberto alihisii kupasuka kama Rahul angekuwa mbele yake nina uhakikaa angempasua hata na ngumi ………. “rahulll embu acha upuuzi nenda kamjali abby nipo kwenye kikao ,, sitaki hizo Habari zingine kuzisikia” alifoka akaikata simu hakutaka story zingine Rahul aliguna tu eeh mpaka pombe zikapungua Watu wote kwenye kikao
0 Comments