SEHEMU YA KUMI NA TATU* SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI❤

SEHEMU YA KUMI NA TATU* SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI❤

Safari hii max alitupia jicho lenye huruma ndani yake lakini Dala hakutaka kumuangalia aliangalia pembeni. Siku zilizidi kwenda mambo yalibadilika pale ndani , Max alionekana kubadilika sana kwanza alikuwa akileta zawadi za Dala na shalon, kila weekend aliwatoa out na kwenda kufanya shopping ya vitu wanavyotaka. Walikaa jikoni na kusaidiana kupika hata kwenye michezo walikuwa wakicheza pamoja. Kila mmoja alikuwa na amani pamoja na furaha. Taratibu ile hali ilianza kubadilisha moyo wa Dala alianza kumkubali Max na kutamani kunikubalia ombi aliliomba mwezi mmoja uliopita lakini hakuwa na ujasiri wa kujieleza moja kwa moja alisubiri Max aanze uchokozi ndipo nae atoe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments