BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 20

BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 20

KWETU MOROGORO GROUP FUN Abigael alijikuta anamkumbatia Mr Qassano "Hata sijui nitumie kauli gani ,ubarikiwe sana " " Usijali Abby, muda wowote unakaribishwa " Sasa lile kumbatio la Abigael, Qassano mwili ulisisimkaa , akamtoa haraka hakutaka habari zingine "Tuwahi nyumbani eeh" Akauwa mada kwa staili hiyo , akawasha gari kwanza akapita super market alinunua kila aina ya mahitaji ya nyumbani ya chakula, alipo toka hapo akampitisha duka la vipodozi akamchukulia lotion na mafuta mazuri pafyum ya kipoaji Mizigo kibaoo ... Wamefika nyumbani Recho ndio alikuwa wa kwanza kuanza kushusha mizingo, mama recho akawa bize kupika siku enyewe wakamuita Vicky pembeni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments