BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEHEMU YA 04_05

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEMU YA 04_05

Kila mtu alikuwa anashangaa mambo ya masha kubadilika gaflaa maisha yamemnyookea kama uyoga unaota Tu kwa sec chake Vicky alitoka nje hakuwa hata na mood ya kusherehekea Rahul nae alitoka nje alikuwa anahitaji kuvuta sigara Wakati anawasha sigara akamuona Vicky amekaa pembeni ya bwawa la kuogelea Taratibu Rahul akamfata , "Naweza kukaa nawe" "Yeah , kaa.. karibu kaa...aah" Vicky alifuta machozi haraka haraka Rahul.akaona akamuuliza unalia?? Vicky akasema Noo ni baridi tu na huu upepo ,, huku anajichekesha chekesha Rahul akatoa Big G akampa huku anamwambia , haupo sawa eeh nimekuona kama unaumwa hivii!? Vicky akasema hapana mie hata siumwi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments