
Naitwa David. Sikuwahi kufundishwa namna ya kupenda, Lakini hisia na pesa... Katika familia ambayo siyo ya kimasikini sana,wala siyo ya kitajiri sana, Mimi na mdogo wangu wa kike, Mimi nilikuwa mtoto wa pili kuzaliwa, Dada yangu alikuwa anaitwa Zai, yeye alikuwa wa kwanza kupelekwa shule, Wakati anaamka kwenda shule nilikuwa natamani na mimi kwenda shule, Miaka ikasonga nikafikia umri wa miaka 6, baba akanipeleka shule na kuniandikisha nikaanza darasa la kwanza, Nilifurahi sana kuanza kwenda shule niliipenda shule kuliko maelezo, Nakumbuka siku moja niliamka mapema na kunawa nikaelekea shule lakini cha kushangaza sikuona mwanafunzi hata mmoja,zaidi yangu, Nilipofika shuleni pako
0 Comments