BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03

BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 03

ENDELEA........... "Nimeanza kuona sasa jinsi gani ulivyo na roho mbaya. Kwa hali hii umeanza kunitisha mapema, kama ndugu yako unaweza kumfanyia roho mbaya kiasi hiki vipi ndugu zangu si unaweza hata kuwatilia sumu wewe?" Sony aliongea hayo. Ilibidi nijitoe nyuma ya mgongo wake. "Kuna baya gani nimemfanyia Manka?, mbona nyie watu wa wili mnataka kuniharibia furaha yangu siku ya leo. "Aya Ulienda wapi au kisa nilighahili kutoka out na wewe kwaajili ya kumpeleka mwenzio hospitali na wewe ukaona upate nafasi ya kwenda kwa wanaume zako" "Nilienda" kabda sijamaliza kujitetea Sony alininyamazisha. "Wewe ni mwanamke ambaye haukubaligi makosa sio. Kwaiyo unaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments