
"kijana hebu nieleze ulitaka kumsaidiaje na wakati alieleta habari anasema ulikuwa na nia ya kumdhuru". "hapana mtukufu mfalme, mimi nilikuwa katuka mawindo nilipomuona princess akitembea karibu na pori lakini kwa mbali niliweza kumuona mbwa mwitu akiwa anamnyatia, baada kuona hivo nilijaribu kumshtua lakini hakunisikia hivo nikaamua kumuwahi yule mbwa kabla hajamdhuru princess, nilifanikiwa kumuua na nlipokuwa nahakikisha kama princess hajapata jeraha lolote kutoka kwa mbwa ndipo walinzi wako walifika na kunikamata kwa madai eti nilikuwa nataka kumdhuru princess" alijitetea kijana huyo. "una ushahidi wowote" aliuliza Syrus ambae alikuwa ni mshauri wa mkono wa kulia wa mfalme "ndio, nimepata majeraha kadhaa
0 Comments