SEHEMU YA 54💘💘 Nilizani mwizi kumbe mmmmmmmh oooooooooh my god🤐🤐🤐🤐🔥

SEHEMU YA 54💘💘 Nilizani mwizi kumbe mmmmmmmh oooooooooh my god🤐🤐🤐🤐🔥

Yaan nilishangaaa kumbe alilipwa laki moja tu huyu babu mbona anadhambi hivyo kumbe mimi nateseka nashindwa kufurahi na watoto wangu na mwanaume wangu , kwa sababu ya laki moja tu eeeh mungu weee huyu mzee ni njaa au ndo laana za mizimu yakee Juddy alimwambia fanya unavyoona sawa nachojua mie hatukurusha jini kwa huyo maraya zaidi ya kuufungia mwili kwenye chupa basi !! " Alianza tena kuondoka yule.mzee akacheka akamwambia "We bint wewe kumbe huna akili kiasi hicho kwahiyo ulitaka nikuambie kila kitu kazi inavyofanya??" "Nilikupa pesa zangu ,nimekupa pesa na tulielewana imekuwaje unanigeuka??" "Nimekundua huyu mtoto hakuwa na kosa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments