πŸ”₯πŸ”₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ“πŸ“ Part One

πŸ”₯πŸ”₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ“πŸ“ Part One

Sehemu ya kwanza. Mke wangu itakuwa mirungi au ndio matatizo aya tayali. " Kesho nenda hospital. " Sawa mke wangu. ( Maongezi yalikuwa ya boss na mkewe...naitwa juma nafanya kazi za ndani kwa mwarabu mmoja mjini Nalala uko uko...asubuhi boss aliamka alinikuta nje nanawa uso na kupiga mswaki akaniita nikaacha kunawa nasikiliza wito nipo na mswaki mkononi) " Juma. " Nam boss. " Mimi naenda hospital kuna kitu nataka kukwambia ila iwe siri yetu. ( Moyoni nilisema asitake kuniletea umende maana niliinama wakati nanawa uso mimi mtoto wa uswahirini siliki kizembe maana waharabu hawa baazi yao wana tabia za ajabu...nikamwambia)

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments