
, anakuja kunikataa siku ya sendoff, niliumia sana mtu niliemuamini kupita maelezo, kaungana na binam yangu na anty yangu kuniharibia maisha yangu, leo ni single mother mtarajiwa, sina baba sina mama, walifariki nikiwa kidato cha 4 wakiwa wanatoka kwenye mahafari yangu ya kidato cha 4, nina mdogo wangu wa kiume, alishakimbia kwa sababu ya mateso ya anty yetu hata sijui mdogo wangu yuko wapi, nafanya kazi salon ya mtaani tu, nilianga kwenda Clinic, nilikuwa na hofu sana lakini nikajikaza, nilienda mpaka Clinic, nilifika nikajieleza wakauliza mwenzangu yuko wapi, nikakaa kwanza kimya, walianza kunishambulia mpaka nikajuta, "hatukuhudumii bila barua ya mwenyekiti,
0 Comments