ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa

ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa

mkononi, salsa akashituka. Salsa sipo hapa kuhukumu najua kilichotokea usiku ule ilikuwa ni makosa yangu na yako pia. Kwanini haukusema chochote, kwanini hakuongea hata kujitetea? "Romex sina majibu ya maswali yako hata mimi sielewi kwanini nikishindwa kujitetea ila mimi. nilienda kwenye chumba chako kwa sababu Domi waliniambia nimpeleke kiti lako bila yeye haya yote yasingetokea. "Ok, ok kwahiyo hiyo mimba ni mimba yangu? Ndio, sikuwahi luwa na mwanaume, sikuwahi kuingiliwa na mwanaume mwingine zaidi yako, hii ni mimba yako Romex tena kwa asilimia mia moja ni yako. "Oooh sasa kwanini haukusema Nilisema mara nyingi ila uliishia kucheka ukachukulia kama utani.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments