
"Karibuni niwasaidie nini?" Gabriella aliwauliza Raymond na Nadya "Unahitajika kituo Cha polisi kwaajili ya kuchukua maelezo yako " " Maelezo yangu kuhusu nini?" Aliuliza Gabriella " Maswali mengi ya nini binti kwanini usiongozane na sisi utaenda kujua huko huko kituoni " alisema Raymond " Lakini anatakiwa kujua kabla ya kuongozana na nyie anahitajika huko kwasababu gani " alisema Gladness " Hatuna muda wa kumuelezea anahitajika haraka sana kituoni " Nadya alimshika mkono Gabriella ,Gladness alitaka kuwàfuata Raymond akamzuia "hutakiwi kuongozana nae unaweza kuja baadae kituoni " alisema Raymond " Gladness usijali nitakuwa sawa unaweza kuja baadae " Gabriella aliongozana na
0 Comments