
Kucheki no ngeni na nimechoka sana nilitaka tu kuizima, B akanizuia nakuipokea yeye, nyie alikuwa ni Emma, alianza kuongea shombo, nakudai asijizime data mimi kwake sipindui, na tunawasiliana sana, na hata taarifa ya kuja kwa ajili ya mahali nimemwambia, na juzi tumeongea sana, na alikuja kunila juzi, apo akawa amejichanganya make hio juzi mimi sikuwa na hio line ni mpya B kanisajilia jana tu, na juzi hatukutoka tumeshinda wote... Alipewa onyo lakini hakuelewa, upande wetu nilibadilishiwa line, na taratibu za ndoa zikaanza, mkwe wangu alikuja, na mashemeji zangu wawili, nilibahatisha mama mkwe safi, japo hakupenda mwanae aoe mtu alie zaa,
0 Comments